SCIENCE TODAY

VITAMIN C
Tiba Ya Asili Ambayo Makampuni Makubwa Ya Dawa Hayataki Uijue

Pichani Ni Dr Linus Pauling

Mshindi Wa Tuzo ya Nobel Prize Mara mbili mwaka 1954 na 1962

Tuzo Ya Nobel Ni Moja Kati ya tuzo kubwa sana

Tuzo hii hutolewa kwa watu waliofanya mambo makubwa kwenye jamii

Dr Linus Pauling akishirikiana na Frederick R. Klenner (MD),Robert F. Cathcart (MD) Kupitia research mbalimbali waligundua hizi faida 13 Za Vitamin C mwilini

Faida 13 Za VITAMIN C Ambazo Hawataki Uzijue

1️⃣ Vidonda na mishono
Husaidia kupona haraka — iwe ni ya kujifungua au operation ya kawaida,
au vidonda vya sukari, kuungua moto, makovu ya chunusi n.k

2️⃣ Ngozi na urembo
Huondoa mikunjo, kuungua na jua, madoa na mabakamabaka,
na kuifanya ngozi iwe na rangi moja ya kung’aa kutokea ndani 

3️⃣ Kinga ya mwili
Huimarisha kinga kwa watu waliougua muda mrefu
au wanateseka na magonjwa sugu.

4️⃣ Mafua na vikohozi vya watoto
Husaidia kudhibiti homa, mafua na vikohozi vya mara kwa mara
kwasababu huimarisha kinga ya mwili 

5️⃣ Damu na mzunguko
Huongeza damu na kusaidia kuimarisa mzunguko wa damu 

6️⃣ Maumivu ya viungo na mgongo
Husaidia kudhibiti maumivu ya viungo, mgongo na maungio kulainika 

7️⃣ Ini na sumu mwilini
Husaidia kusafisha na kupambana na sumu mwilini,
hivyo kusaidia ini lifanye kazi vizuri zaidi 

8️⃣ Kansa
Katika kiwango kikubwa husaidia kupambana na seli za cancer 

9️⃣ Presha na mzunguko wa damu
Huimarisha mishipa ya damu, husaidia kuweka sawa presha
na kuboresha mzunguko wa damu 

🔟 Uzazi wa wanawake
Husaidia mayai kukomaa na kuzalishwa kwa wingi kwa wanaweka 

1️⃣1️⃣ Homoni na mzunguko
Husaidia kurekebisha homoni na kuboresha mzunguko,
na hata kusaidia kwenye kushika ujauzito 

1️⃣2️⃣ Sukari na nishati
Husaidia uzalishwaji wa insulin na kuongeza uwezo wa mwili kufyonza sukari,
hivyo husaidia kudhibiti sukari kupanda 

1️⃣3️⃣ Ini kwa watumiaji wa pombe/sigara
Husaidia kusafisha INI hasa kwa watumiaji wakubwa wa pombe na sigara 

Research Za Madaktari hao Zilipuuzwa Kwasababu hizi 2

  1. Vitamin C inapatikana kila sehemu hivyo ni rahisi Kuipata
  2. Makampuni Makubwa Ya Dawa Yaliona hakuna faida

Kwanini Watu Wengi hawapati Matokeo Makubwa Pamoja Na kula Matunda Kila siku??

Hii Ni kwasababu watu wengi hawapati vitamin c ya kutosha

Machungwa 2 au 3 yanatosha kukupa vitamin c inayoweza kukusaidia kua na fidhi imara,kuzuia midomo kupasuka na fizi kutoa damu

Lakini ili kupata matokeo makubwa sana utahitaji kula walau matunda 20 kwa siku

Ili upate kati ya 2g hadi 3g ambazo ndio zilionekana kuleta hizo faida zaidi ya 15

Suluhisho

Kama unahitaji kupata kiasi cha kutosha cha vitamin C unaweza kutazama hiki kirutubisho lishe kinachotokana na vitamin C Kitakachokusaidia kuimarisha mwili na afya yako kwa ujumla

@2025 SCIENCE TODAY