KIMOJA CHALII??

Usikose Hivi Vyakula 05
Ambavyo watu wengi wanavidharau

Tatizo Kubwa Sio Upatikanaji Wake

Bali Ni Kutovitumia Kila Siku

1.Mbegu Za Maboga
   Zina Zinc,Vitamin E,Boron Etc

2.Ufuta
   Una Zinc,Vitamin E na Vitamin B6

3.Karanga
   Zina Vitamin B6,Zinc na Folate

4.Dagaa
   Zina Vitamin D3,Vitamin B12 na Selenium

5.Mayai
   Yana Vitamin B12, Vitamin D3, Selenium, Vitamin B6

6.Majani Ya Moringa
   Yana Vitamin C, Vitamin E, Folate

7.Parachichi
   Lina Vitamin E, Vitamin B6, Boron

8.Korosho
  Zina Selenium, Zinc, Vitamin E

9.Chaza [Oyster]
   Wana Zinc kwa wingi

Kupata Matokeo Mazuri Ya Uhakika Unaweza Kutumia Mbinu Hii rahisi na salama Kupata Vyakula hivyo Kila siku Bila gharama Kubwa

AfricanSupplements@2024