Kama Hujauona Mkoa Wako
Maana Yake Huo Mkoa Hatuna Wakala Kabisa
Hivyo Ukihitaji Tukutumie Mzigo
Utaongeza 5000 au 10,000/= ya usafiri Kulingana Na Mkoa Uliopo ambayo utaituma kwanza Ndio tukutumie mzigo wako
Pesa inayobaki Utaimalizia Ukishapokea Mzigo
Kama Unawasiwasi wa kutapeliwa hiyo 5000
Unaweza fika ofisini au uka mwagiza mtu akaja kukuchukulia
Tunapatikana
Kariakoo
Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani
0741696939