Tumia Mchanganyiko Huu Kila Siku Ili Uweze Kua Na Nguvu Za Kiume Milele

1. Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja [Usiweke kama una kisukari]
2. Unga wa msamitu vijiko vya chai 3
3. Unga wa habat Sawda vijiko vya chai 3
4. Tangawizi ya unga vijiko 3
5. Mdarasini wa unga vijiko 3
6. Hiriki ya unga Vijiko 3
7. Unga wa mbegu za maboga vijiko 3
8. Karafu ya unga vijiko 3
9. Unga wa mbegu za tikiti maji vijiko 3
10. Pilipili manga ya unga kijiko kimoja tu
11. Kitunguu swaumu ponda ponda upate kijiko kimoja tuu
12. Mbegu za maboga weka mengi huongeza sperm
13.Maziwa Ya Ng’ombe Lita Moja

Changanya virutubisho vyote kwa pamoja

Kwa kutumia blender au koroga kwenye chombo Kikubwa kisha hifadhi kwenye chombo kisafi

Matumizi
Tumia Kijiko kimoja Kila Siku

Kama Unapata shida Kuandaa Mchanganyiko HUU

Kuna Hivi Virutubisholishe vilivyo tayari unaweza kuvitumia na vikakusaidia pia

KWA BEI YA KUANZIA 15,000/= TUU

AfricanSupplements@2024