AFRICAN SUPPLEMENTS

NYUZILISHE

Chujio La Asili La Sukari Ndani Ya Mwili Ambalo Watu Wengi Hawalifahamu

Sukari inapozidi Mwilini Husababisha

  1. Kisukari
  2. Presha
  3. Mvurugiko wa homoni
  4. Uzito mkubwa
  5. Mafuta mabaya cholesterol

Ndio maana vyakula vyingi vya asili ambavyo vina sukari

Mfano Mahindi,mihogo,mchele,matunda,viazi n.k

Hua vina kitu cha asili kinachoitwa nyuzilishe

Nyuzilishe hufanya kazi kama chujio la asili la sukari Ndani Ya Mwili

Unapokula hivyo vitu vya asili vyenye sukari nyingi

Nyuzilishe iliyo ndani yake huenda kuchuja na kupunguza sukari inayoingia kwenye damu isizidi na kuleta shida

Na ndio maana

Wazee wa zamani waliweza kula hivyo vyakula bila shida yoyote

Hivyo tatizo kubwa sio kula vyakula vya sukari

Bali ni Kula vyakula hivyo vikiwa vimeondolewa chujio la asili la sukari yani nyuzilishe

Kuna Mambo 03 ambayo watu huyafanya kila siku

Mambo hayo  huondoa nyuzilishe hizo kwenye vyakula bila wao kujua

Kama unahitaji kuyafahamu na kufahamu suluhisho sahihi bonyeza hapo chini