Hivi Ndio Vyakula Sahihi Vya Kutumia

1. Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja [Usiweke kama una kisukari]
2. Unga wa msamitu vijiko vya chai 3
3. Tangawizi ya unga vijiko 3
4. Mdarasini wa unga vijiko 3
5. Hiriki ya unga Vijiko 3
6. Unga wa mbegu za maboga vijiko 3
7. Karafu ya unga vijiko 3
8. Unga wa mbegu za tikiti maji vijiko 3
9. Kitunguu swaumu ponda ponda upate kijiko kimoja tuu

Changanya virutubisho vyote kwa pamoja

Kwa kutumia blender au koroga kwenye chombo Kikubwa kisha hifadhi kwenye chombo kisafi

Matumizi
Tumia Kijiko kimoja Kila Siku

Kama Unahitaji Matokeo Ya Haraka Zaidi na ya uhakika Ndani Ya Siku 3 hadi 6 kuna hivi virutubisho unaweza kuvitumia

AfricanSupplements@2024