Kinga thabiti, ngozi kung’aa, kupona haraka — bila usumbufu wa tumbo kama ascorbic acid ya kawaida.
Picha halisi ya bidhaa.
Imeundwa kusaidia mwili wako kwenye maeneo muhimu ya afya ya kila siku.
Vidonda vya kisukari, upasuaji au ajali — huongeza collagen na hupunguza maambukizi.
Huondoa mabaka/PIH na kusaidia makovu ya chunusi kutoweka polepole.
Husaidia kupunguza magonjwa ya mara kwa mara na kuimarisha mwili.
Huongeza matumizi ya madini ya chuma — msaada kwa upungufu wa damu.
Hujenga cartilage / connective tissue — msaada kwa maumivu ya viungo.
Huimarisha mishipa iliyoathiriwa na presha au kisukari.
Liposomes hulinda Vitamin C ipite salama kwenye utumbo hadi kufika moja kwa moja kwenye damu.
| Vigezo | Liposomal Vitamin C | Vitamin C ya Kawaida |
|---|---|---|
| Ufyonzwaji | Mara 3–5 Juu | Mdogo |
| Usumbufu wa Tumbo | Mdogo sana | Mara nyingi upo |
| Matokeo | Haraka & thabiti | Hupanda & kushuka |
Taarifa: Bidhaa za lishe si dawa — matokeo hutofautiana kulingana na mtumiaji.
Nunua sasa — malipo baada ya kupokea (Dar). Usafiri kuanzia 2,000/= maeneo ya karibu na Kariakoo.
“Ngozi imeanza kung’aa ndani ya wiki 1, na uchovu umepungua.”
“Sijapata maumivu ya tumbo kama na Vitamin C ya kawaida.”
“Kikohozi cha kurudia kwa mtoto kimepungua sana mwezi huu.”
⏱️ Ofa ya TZS 35,000 ni ya leo. Usafiri kuanzia 2,000/= maeneo ya karibu na Kariakoo (Dar es Salaam). Malipo baada ya kupokea (Dar).