KIMOJA CHALII??

Tumia Hivi Vyakula Kwa Usahihi Zaidi

Tatizo Kubwa Sio Upatikanaji Wake

Bali Ni Kutovitumia Kila Siku Kwa Usahihi

1.Mbegu Za Maboga
   Zina Zinc,Vitamin E,Boron Etc

2.Ufuta
   Una Zinc,Vitamin E na Vitamin B6

3.Karanga
   Zina Vitamin B6,Zinc na Folate

4.Dagaa
   Zina Vitamin D3,Vitamin B12 na Selenium

5.Mayai
   Yana Vitamin B12, Vitamin D3, Selenium, Vitamin B6

6.Majani Ya Moringa
   Yana Vitamin C, Vitamin E, Folate

7.Parachichi
   Lina Vitamin E, Vitamin B6, Boron

8.Korosho
  Zina Selenium, Zinc, Vitamin E

9.Chaza [Oyster]
   Wana Zinc kwa wingi

Bidhaa Yetu Ina Mchanganyiko wa Madini na Vitamini Muhimu Za Kukusaidia

AfricanSupplements@2024