AFRICAN SUPPLEMENTS

HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI HAWAUJUI KUHUSU KISUKARI

Kama unataka kushusha sukari yako haraka

Basi usile vyakula vya sukari au meza dawa za kushusha sukari kila siku

Walau itakusaidia kwa muda tuu!!

Sio kwasababu hizo njia ni mbaya au hazifanyi kazi

Ni kwasababu

Kuna kitu mwilini huendelea kuzalisha sukari ata baada ya kufanya hayo yote

We unafanya kila namna kushusha sukari

Kumbe INI lako Linakusaliti linaendelea kuizalisha kisirisiri bila we kujua

Na ndio maana kuna baadhi ya Wagonjwa

Asubuhi sukari inakua juu hata kama usiku hawakula vitu vya sukari

Sukari inazidi kuongezeka

Inaanza kutafuna taratibu sehemu muhimu za mwili

Mwisho wa siku

Vidonda visivyopona,figo zinafeli,presha,matatizo ya moyo,macho n.k

Lakini umewahi Kujiuliza

Mbona wazee wetu walikula sana matunda,ugali,wali n.k

Bila kupata kisukari

Ni kwasababu

Hawakujua kukoboa unga,kukamua juisi

Wala kula vyakula ambavyo mbegu zimetengenezwa viwandani

Mambo hayo huondoa kitu muhimu kwenye vyakula kinachoitwa nyuzilishe

Nyuzilishe hufanya kazi kama chujio tumboni

Huchuja na kupunguza sukari inayoingia kwenye damu isilete madhara

Pia hurekebisha INI lisiendelee kukusaliti

Yani liache kuzalisha sukari kimyakimya kama bomba lililopasuka

Jambo ambalo hakuna dawa yoyote iwe ya hospitali au mitishamba inaweza kufanya

Kutibu kisukari bila nyuzilishe ni sawa na kujenga nyumba nzuri bila msingi imara

Nyuzilishe zinapatikana kwa wingi zaidi kwa kula vitu kama

  • Mboga za majani
  • Ubuyu
  • Mbegu za chia
  • Matunda kama parachichi
  • Maharage,karanga na ufuta
  • Shayiri [Oats]

Tatizo ni moja tuu 

Unahitaji kula kiasi kingi sana cha vyakula hivyo ili upate kiwango kinachotakiwa

Hivyo kama unahitaji njia rahisi ya haraka na uhakika zaidi

Unaweza kutumia hii bidhaa yenye nyuzilishe ya kutosha