MBINU RAHISI YA KULA UGALI BILA SUKARI KUPANDA SANA
😣 Kila ukila ugali, wali au matunda sukari yako inapanda???
Muda mwingine Sukari yako inakua juu ata kama haujala Kitu cha sukari??
❤️ Sio Makosa Yako
Ni Kwasababu Mwili wako una zalisha sukari nyingi hata kama haujala sukari.
Hii Ndio Siri Ambayo Watu Wengi Hawaijui.
Unapokua na kisukari INI huzalisha sukari nyingi bila kukoma.
Na ndio maana sukari yako inaweza kua juu ata kama haujala kitu.
Au asubuhi unaamka sukari iko juu ata kama jana haukula kitu usiku.
⚠️ Shida Kubwa Ya Kisukari Sio Sukari Unayokula Tuu
Bali ni sukari inayozalishwa mwilini kimyakimya bila we kujua.
Na ndio maana Pamoja na kuacha kula vyakula vya sukari bado kisukari kinakutesa.
Kutokula sukari na Kumeza Dawa Kila siku hakuwezi kukusaidia kwa muda mrefu
Kwasababu dawa nyingi haziendi kurekebisha INI
Haziuambii mwili uache kuzalisha sukari nyingi bila kukoma.
💧 Swali rahisi kwako
Bomba la ndani likipasuka na maji ya kajaa ndani ya nyumba suluhisho rahisi ni lipi??
Mwenye akili timamu atafunga au kuziba kwanza bomba lililopasuka kisha ndio atadeki au kuyaondoa maji yaliyobaki.
Ni kichaa pekee ndio atakazana kudeki ili hali maji yanazidi kuingia na kuongezeka.
Unapotumia dawa au kuacha kula ugali/wali pekee ni sawa na kudeki bila kuziba bomba lililopusaka kwanza.
🧠 Hatua ya kwanza ya kudhibiti kisukari
Ni kuziba hili bomba la sukari mwilini lisiendelee kuvuja.
Bomba hili la sukari mwilini ni INI.
Kuna njia rahisi sana ya asili ya kuliziba bomba hili la mwilini ili lisiendelee kukujaza sukari.
🌿 Njia ya asili ya kudhibiti kisukari
Njia hii iliwawezesha wazee wa zamani kuishi wa kila kila kitu kuanzia ugali, wali, matunda bila kupata kisukari.
Bahati mbaya kwasababu njia hiyo ni ya buree makampuni makubwa ya dawa hayataki uijue.
Njia hiyo ni kwa kula vyakula vya kutosha vyenye nyuzinyuzi [NYUZILISHE] [Dietary fiber].
Lakini kutokana na ujuaji na maendelo ya teknolojia watu wengi hawali nyuzilishe za kutosha.
Wanatumia vyakula vilivyokobolewa, juisi na vyakula vinavyotokana na mbegu za kutengenezwa sio za asili.
Vyakula hivi vyote kwa Pamoja havina nyuzilishe ya kutosha kukupa matokeo makubwa kiafya.
⚠️ Usisubiri Hadi Sukari Itafune Ogani zako zote Muhimu
Sukari hushambulia figo, moyo, mishipa ya damu na mishipa ya fahamu kimyakimya ata kama unatumia dawa.
Mwisho figo zinafeli, unapata presha, vidonda visivyopona na kukatwa viungo n.k
🎁 Unataka kujua vyakula 05 vyenye nyuzilishe nyingi na jinsi ya kuvitumia kila siku??
Jaza taarifa zako hapa utatumiwa mwongozo kamili WhatsApp BUREE.