KIMOJA CHALII??

Usikose Hivi Vyakula 05
Ambavyo watu wengi wanavidharau

1.Watu wengi wamedanganywa sana
kua wana upungufu wa nguvu za kiume

Sasa huu ndio ukweli
ambao unatakiwa uujue

Hata kama wauza dawa za nguvu za kiume mitandaoni
watachukia

Hasa kama wewe ni kijana

Hauna changamoto yoyote ya kiafya

Au ulipiga sana punyeto

Punyeto haisababishi upungufu wa nguvu za kiume

Na ndio maana kuna vijana wengi tuu
wamefanya sana punyeto
lakini wana nguvu za kiume

Siri yao kubwa ni
vyakula wanavyokula kila siku

2.Mazoezi pia hayawezi kukusaidia
Kama hauli chakula sahihi

Na ndio maana Pamoja na mazoezi

Bado kuna watu wanateseka

Na nguvu za kiume

3.Hili ndio Tatizo pekee linalosababisha upungufu wa nguvu za kiume

Vijana wengi wanakula kila siku
ugali wali

Wanaongeza nguvu mwilini

Wanasahau kula
vyakula vyenye madini ya zinc ya kutosha

Ambavyo ndio
huongeza nguvu za kiume

4.Faida kuu 3 za madini ya Zinc

Ambazo wanaume wengi hawazijui

  • Kuimarisha kinga ya mwili
  • Kuboresha mfumo wa fahamu
  • Kuimarisha mfumo wa uzazi

5.Hii ndio Siri rahisi ya kufurahia tendo la ndoa

Zinc ni kama mafuta kwenye gari

Unahitaji mafuta
ili gari iwake na kutembea

Pia unahitaji Zinc
ili uweze kufanya tendo kwa ufanisi

6.Ukitaka kuongeza nguvu za kiume haraka sana Fanya hivi

Kula hivi vyakula
vyenye madini ya ZINC kwa wingi

Vinafanya kazi haraka sana

Na ndio maana watu wengi
huvitumia kabla ya tendo
kuongeza uwezo kitandani

Vyakula hivyo ni kama

Karanga
Mbegu za maboga
Pweza
Chaza
Tikiti maji
Tende n.k

Kama unataka kutibu nguvu za kiume milele

Jitahidi kila siku Ule vyakula vyenye madini ya zinc

Busta na viagra za muda mfupi hazitakusaidia

7.Tatizo Watu Wengi Hawapendi Kuambiwa huu Ukweli

Unakula Ugali na wali kila siku

Ili upate nguvu za kufanya kazi kila siku

Vivyohivyo

Kwa vyakula vya madini ya zinc

Usitegemee utakula vyakula vya madini ya Zinc Mara moja au mbili au kwa miezi 6 alaf eti uwe na nguvu za kiume milele

8.Hili ndio suluhisho pekee unalohitaji

Kama mazingira uliyopo
haupati vyakula vya kutosha
vyenye madini ya zinc

Au tuu unahitaji kuongeza
kiwango unachokula kila siku

Unaweza kutumia hivi
virutubisholishe vyenye madini ya zinc

Na sio madini ya zinc pekee

Ni madini na vitamin
zaidi ya 12 muhimu zaidi
kwa afya yako

AfricanSupplements@2024