1️⃣ Vidonda
Iwe ni vya kisukari, upasuaji (operation), au ajali — Vitamin C husaidia sana kuharakisha kupona kwa vidonda, kupunguza maambukizi, na kuacha kovu dogo.
2️⃣ Ngozi
Vitamin C husaidia kuondoa mabaka na madoa kwenye ngozi, huifanya ngozi kung’aa na kupendeza, na pia huondoa makovu ya chunusi kutoka ndani kwa kuchochea uzalishaji wa collagen.
3️⃣ Magonjwa ya Mara kwa Mara kwa Watoto
Hupunguza vikohozi, mafua, na homa za mara kwa mara kwa watoto kwa kuimarisha kinga ya mwili
4️⃣ Kansa
Katika kiwango kikubwa, Vitamin C husaidia kupambana na seli za kansa kwa kupunguza uharibifu wa oksidishaji (oxidative stress) mwilini
5️⃣ Damu
Husaidia kuongeza damu kwa kuchochea ufyonzwaji na matumizi ya madini ya chuma mwilini
6️⃣ Viungo (Joints)
Husaidia kupunguza maumivu ya viungo na mgongo, kwa sababu hujenga cartilage na tishu unganishi (connective tissue)
7️⃣ Ini
Husaidia kusafisha na kurejesha ini lililoathiriwa na pombe, sigara, au sumu mwilini, na kulifanya lifanye kazi vizuri zaidi
8️⃣ Mishipa ya Damu
Husaidia kuimarisha mishipa ya damu iliyoathiriwa na kisukari au presha, hivyo kuboresha mzunguko wa damu na upitishaji wa oksijeni
9️⃣ Kinga ya Mwili
Hupandisha kinga ya mwili kwa watu waliokuwa wagonjwa kwa muda mrefu au wanaougua magonjwa sugu, na kupunguza hatari ya kuambukizwa tena
🔟 Mayai kwa Mwanamke
Husaidia uzalishaji na ukomavu wa mayai, kurekebisha homoni na mzunguko wa hedhi, na kusaidia kuongeza uwezo wa kushika mimba
💡 Kwa Nini Liposomal Vitamin C ni Bora?
Kwa sababu hufyonzwa hadi mara 3–5 zaidi ya kawaida, hufika moja kwa moja kwenye damu, na haina madhara ya tumbo kama ascorbic acid ya kawaida.
Kijiko Kimoja Cha chai Kwa siku
Unaweka kwenye kikombe cha maji ya kunywa
Una kunywa kila siku