Wengi Wanaupungufu Wa Haya Madini Tuu.
Ilibaki kidogo tuu huyu mteja nimpige makofi…
Wiki iliyopita kuna kijana alikuja ofisini kwangu
Eti anadai hana nguvu za kiume
Akasema
nikipiga kimoja tuu chalii
uume umelegea hausimami kama msumari
Alaf nawahi kumwaga
Na hamu ya tendo sina
Nikamuuliza
Una Presha
Sukari
Au shida Kubwa ya kiafya??
Akajibu
Hapana
Labda tuu ujanani nilipiga sana punyeto
Nilifanya pia checkup ya mwili mzima
Homoni,mishipa ya damu moyo n.k
Daktari akaniambia sina shida yoyote kiafya
Nikamwambia
Kama ni hivyo tuu
BASI HAUNA SHIDA YA NGUVU ZA KIUME
Akashangaa
Akauliza
Sasa siwezi nikapata ata dawa lkn inayofanya kazi haraka
Nikamwambia
Hizo busta zimejaa pharmacy
Au katumie vumbi la kongo
UTAONA MATOKEO ndani ya nusu saa tuu
Lakini pia ujue hizo busta
Zishaua watu wengi sana
Na hua zinamaliza kabisa ata nguvu kidogo ulizonazo
Unabaki na bunduki tuu lakini haina risasi
Akasema
Mi sihitaji busta nataka tiba ya kudumu
Daah nilikasirika
Nikatamani nimlambe makofi
Mtu nishamwambia hana shida yoyote ye bado anang’ang’ania eti anataka tiba
Akaendelea kuniambia
Hakuna dawa sijanunua,
Nyingi zinakua busta tuu,
Au hazifanyi kazi kabisa.
Lakini Sasa cha kushangaza
hua nikipiga mchuzi wa pweza
Juisi ya tende
Maboga kwa sana
walau napiga kazi vizuri.
Hapo Ndio nikagundua Tatizo lake
Nikamwambia
Hivyo vyakula vyote ulivyovitaja
Vinaongoza kwa kua na madini ya ZINC
Na ZINC ni sawa na mafuta kwenye Gari
Bila mafuta gari haiwezi kuwaka wala kutembea
Bila Zinc Ya Kutosha
Huwezi kupiga show za kibabe
Unakua kama gari ambalo halina mafuta tuu
Nikamwambia wewe hauna upungufu wa nguvu za kiume
Ila tuu una upungufu wa Madini Ya Zinc
Na hili ndio Tatizo kubwa kwa vijana wengi
Wanadhani magari yao yanashida
Wanapoteza pesa nyingi kuyatengeneza
Kumbe hayana tuu mafuta
So nikawa nimempa
List ya vyakula vyenye madini ya zinc ya kutosha
Awe anatumia kila siku ili aongeze mafuta
Akauliza
Kwani hauna supplement zenye hayo madini
Nikamwambia
Ipo ina vitamin na madini zaidi ya 12
Inaitwa MALE PROVITAMIN
Lakini nikamuuliza
Sasa kama hauwezi kupata haya madini kwenye chakula kila siku
Utaweza kumeza supplement kila siku???
Maana Zinc ni mafuta yanayohitajika kila siku mwilini
Akasema haina shida
Aanze kwanza na supplement wakati anaweka mambo sawa
Then atahamia kwenye chakula aachane na supplements
Akachukua supplement za wiki 2 akaondoka
So leo karudi tena kuongeza ile supplement
Karudi anaisifia kinoma
Nikamuuliza kiutani tuu
Si ulisema baada ya wiki mbili utajitahidi uongeze zaidi zinc kwenye msosi
Vipi tena mbona umerudi??
Akasema bado anajipanga
Tukacheka tuu pale
Nikampa mzigo wake akawa ameondoka
@AfricanSupplements2025