HAKIKISHA UNASOMA KWANZA MAELEZO HAPO CHINI!!

Kama Hujauona Mkoa Wako

Maana Yake Huo Mkoa Hatuna Wakala Kabisa

Hivyo Ukihitaji Tukutumie Mzigo

Utaongeza 5000 au 10,000/= ya usafiri Kulingana Na Mkoa Uliopo ambayo utaituma kwanza Ndio tukutumie mzigo wako

Pesa inayobaki  Utaimalizia Ukishapokea Mzigo

Kama Unawasiwasi wa kutapeliwa hiyo 5000

Unaweza fika ofisini au uka mwagiza mtu akaja kukuchukulia

Tunapatikana
Kariakoo
Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani
0741696939

HAKIKISHA UMESOMA MAELEZO HAPO JUU KABLA YA KUJA WHATSAPP