Sukari inapozidi Mwilini Husababisha
Ndio maana vyakula vyingi vya asili ambavyo vina sukari
Mfano Mahindi,mihogo,mchele,matunda,viazi n.k
Hua vina kitu cha asili kinachoitwa nyuzilishe
Nyuzilishe hufanya kazi kama chujio la asili la sukari Ndani Ya Mwili
Unapokula hivyo vitu vya asili vyenye sukari nyingi
Nyuzilishe iliyo ndani yake huenda kuchuja na kupunguza sukari inayoingia kwenye damu isizidi na kuleta shida
Na ndio maana
Wazee wa zamani waliweza kula hivyo vyakula bila shida yoyote
Hivyo tatizo kubwa sio kula vyakula vya sukari
Bali ni Kula vyakula hivyo vikiwa vimeondolewa chujio la asili la sukari yani nyuzilishe
Kuna Mambo 03 ambayo watu huyafanya kila siku
Mambo hayo huondoa nyuzilishe hizo kwenye vyakula bila wao kujua
Kama unahitaji kuyafahamu na kufahamu suluhisho sahihi bonyeza hapo chini