AFRICAN SUPPLEMENTS

HII NDIO NJIA RAHISI ZAIDI YA KUONGEZA NYUZILISHE KWENYE MLO WAKO

Watu wengi hawapati nyuzi lishe za kutosha kutokana na hizi sababu 03

1.Kukoboa nafaka Na Kukamua Juisi

Unapofanya hivyo unaondoa nyuzilishe na kubaki na rundo la sukari pekee

2.Kutumia vyakula vya viwandani mfano juisi,soda,burger,pizza n.k

Hivi vimetengenezwa kwa sukari tupu bila nyuzilishe

3.Kutumia vyakula vinavyotokana na mbegu za viwandani

Vingi havina nyuzilishe za kutosha Ila vimejaa sukari tupu

Vimetengenezwa ili kutengeneza faida tuu

Mahindi,mihogo,viazi,matunda n.k waliyokula mababu zetu ni tofauti sana na hii tunayokula sisi

Faida Kuu 08 Za Nyuzilishe Hii Ya METASHIELD

1.Huzuia sukari kupanda ghafla baada ya kula

2.Hupunguza njaa za mara kwa mara na hamu ya sukari

3. Husaidia mwili kurudi kudhibiti sukari wenyewe

4.Hupunguza mafuta mabaya (cholesterol) na kulinda moyo

5.Husaidia kupunguza uzito bila njaa kali

6.Husafisha tumbo na kuboresha mmeng’enyo wa chakula

7.Husaidia homoni kuwa katika usawa (hasa PCOS)

8.Hulinda ogani muhimu za mwili dhidi ya sukari mfano moyo,macho,ovari,mishipa ya damu na fahamu,figo,ubongo n.k

Hivi ndio Inavyofanya kazi

Huchuja na kupunguza sukari inayoingia kwenye damu

Pia Husaidia mwili kutumia sukari kwa urahisi

Matokeo yake

Hukusaidia uweza kula vyakula vya asili vyenye sukari bila sukari kupanda sana

Na baada ya siku nyingi hujenga upya uwezo wa mwili kutumia sukari kwa urahisi

Imetengenezwa Na Nyuzilishe 06 Bora Zaidi Duniani

  1. Guar gum
  2. Resistant Dextrin
  3. Oat Beta Glucan
  4. Glucomannan
  5. Apple Pectins
  6. White Kidney Bean

Baadhi Ya Watu Walioitumia Walikua Na Haya Ya Kusema

Hizi Ndio Sababu 04 Kwanini Watu Wengi Wanatumia Hii bidhaa

  1. Rahisi sana kuitumia
  2. Anatumia mtu yeyote maana haina sukari etc
  3. Ni salama na haiiingiliani na dawa za hospitali,pombe,maziwa n.k
  4. Haina madhara yoyote kwa leo wala kwa baadae

Dozi Kiasi Gani Itakufaa??

 Kitaalamu Inashauriwa Kutumia

Utumie Walau [1.5-5]g kwa siku

So Kama Unahitaji Matokeo Makubwa Zaidi

Jitahidi Upate Walau Pakiti 1 Kwa Mwezi

Hizi zitatosha kwa Matumizi Ya 1.5g Kila siku

Hata baada Ya Kuona Mabadiliko

Unashauriwa uendelee kutumia nyuzilishe

Kwasababu ni sehemu ya chakula ambayo maisha yetu ya kisasa yanafanya iwe ngumu kuipata

Jinsi Ya Kutumia

1.Pima Kijiko Kimoja [1.5g]

2.Changanya kwenye maji 250ml 

3.Tikisa/Changanya vizuri 

4.Furahia kinywaji chako

NB

Unaweza kutumia asubuhi.mchana au usiku 

Unaweza kuchanganya na kinywaji chako chochote pendwa

Kwa Matokeo Makubwa Zaidi Tumia dakika 10 hadi 15 Kabla Ya Chakula

OFA YA LEO

Pakiti Moja ni 35,000/= Tuu

Badala ya 55,000/=

KAMA UNAHITAJI KUAGIZA LEO

Kama Haupo Tayari Kuagiza LEO HII

Usiweke Oda

Badala Yake

Save Namba Zetu Hizi ili utakapokua Tayari Uweke Oda Kwa Urahisi

Namba Ya Kupiga Kawaida 0711883026

Namba Ya Whatsapp 0741696939

Tunapatikana

Kariakoo/Jangwani,[Kariakoo,Dar Es Salaam]

African Supplements @2026