Pichani Ni Dr Linus Pauling
Mshindi Wa Tuzo ya Nobel Prize Mara mbili mwaka 1954 na 1962
Tuzo Ya Nobel Ni Moja Kati ya tuzo kubwa sana
Tuzo hii hutolewa kwa watu waliofanya mambo makubwa kwenye jamii
Dr Linus Pauling akishirikiana na Frederick R. Klenner (MD),Robert F. Cathcart (MD) Kupitia research mbalimbali waligundua hizi faida 13 Za Vitamin C mwilini
1️⃣ Vidonda na mishono
Husaidia kupona haraka — iwe ni ya kujifungua au operation ya kawaida,
au vidonda vya sukari, kuungua moto, makovu ya chunusi n.k
2️⃣ Ngozi na urembo
Huondoa mikunjo, kuungua na jua, madoa na mabakamabaka,
na kuifanya ngozi iwe na rangi moja ya kung’aa kutokea ndani
3️⃣ Kinga ya mwili
Huimarisha kinga kwa watu waliougua muda mrefu
au wanateseka na magonjwa sugu.
4️⃣ Mafua na vikohozi vya watoto
Husaidia kudhibiti homa, mafua na vikohozi vya mara kwa mara
kwasababu huimarisha kinga ya mwili
5️⃣ Damu na mzunguko
Huongeza damu na kusaidia kuimarisa mzunguko wa damu
6️⃣ Maumivu ya viungo na mgongo
Husaidia kudhibiti maumivu ya viungo, mgongo na maungio kulainika
7️⃣ Ini na sumu mwilini
Husaidia kusafisha na kupambana na sumu mwilini,
hivyo kusaidia ini lifanye kazi vizuri zaidi
8️⃣ Kansa
Katika kiwango kikubwa husaidia kupambana na seli za cancer
9️⃣ Presha na mzunguko wa damu
Huimarisha mishipa ya damu, husaidia kuweka sawa presha
na kuboresha mzunguko wa damu
🔟 Uzazi wa wanawake
Husaidia mayai kukomaa na kuzalishwa kwa wingi kwa wanaweka
1️⃣1️⃣ Homoni na mzunguko
Husaidia kurekebisha homoni na kuboresha mzunguko,
na hata kusaidia kwenye kushika ujauzito
1️⃣2️⃣ Sukari na nishati
Husaidia uzalishwaji wa insulin na kuongeza uwezo wa mwili kufyonza sukari,
hivyo husaidia kudhibiti sukari kupanda
1️⃣3️⃣ Ini kwa watumiaji wa pombe/sigara
Husaidia kusafisha INI hasa kwa watumiaji wakubwa wa pombe na sigara
Hii Ni kwasababu watu wengi hawapati vitamin c ya kutosha
Machungwa 2 au 3 yanatosha kukupa vitamin c inayoweza kukusaidia kua na fidhi imara,kuzuia midomo kupasuka na fizi kutoa damu
Lakini ili kupata matokeo makubwa sana utahitaji kula walau matunda 20 kwa siku
Ili upate kati ya 2g hadi 3g ambazo ndio zilionekana kuleta hizo faida zaidi ya 15
Kama unahitaji kupata kiasi cha kutosha cha vitamin C unaweza kutazama hiki kirutubisho lishe kinachotokana na vitamin C Kitakachokusaidia kuimarisha mwili na afya yako kwa ujumla
@2025 SCIENCE TODAY